“I
hit it first” hit maker Ray J, mwenye umri wa miaka 34, anampenda mbwa
kwa kiasi ambacho ameamua kumfanyia sherehe maalum kwa ajili ya siku
yake ya kuzaliwa, sherehe ambayo itafanyika Petrock Hotel and Spa
iliyopo Encino, California, ambapo wageni watapita kwenye red carpet
kabla ya kuingia.
Taarifa
za TMZ zimeeleza, chakula kwa wageni, pia kutakuwa na sehemu maalum kwa
ajili ya chakula cha mbwa na keki maalum kwa ajili ya mbwa wake
anayeitwa Boogotti na marafiki zake watakuwa hapo.
Lakimi, mtu mmoja hatokuwepo ambae ni Princess Love, ambae alikuwa akimmiliki mbwa huyo mpenzi wa zamani wa Ray J.
Star
wa “The Love and Hip Hop” waliachana vibaya mwezi Oktoba kitu
kilichopelekea Princess kuondoka na mbwa wao watatu, kitu ambacho
kimefanya Boogotti abaki peke yake.
Haiko wazi kama mbwa wa Princess watahudhuria birthday bash ya Boogotti.
0 comments:
Chapisha Maoni