Hii ni
moja ya picha pekee ya Madam Wema Sepetu akiwa bado na usichana
wake.Katika mahojiano mbalimbali alikili kuanza mahusiano ya kimapenzi
akiwa na miaka 17 nakuupoteza usichana huo.Mjadala mkali hivi sasa
kwenye mitandao ya kijamii ni kutangaza kwake nia ya kuwania uwakilishi
wa wananchi bungeni.Hisia za watu wengi zinahoji sifa mbaya ya umalaya
na picha chafu zinachafua chama hicho tawala na cheo hicho cha kuelekea
kwenye bunge tukufu.
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni