Faiza
Ally ameingia kwenye vita kubwa ya maneno na msanii Peter Msechu baada
ya msanii huyo wa bongo fleva kuandika ujumbe mzito.Leo asubuhi Peter
Msechu ameitwa kubwa jinga na mwanamama huyo na kuambiwa bila mashindano
ya bongo star search sijui angekuwa wapi.Peter Msechu alitoa ya moyoni
kulaani kivazi hicho kwa siku muhimu kama ile ambapo hadi viongozi wa
serikali huudhulia na wasanii kupata nafasi ya kupewa kipaumbele nchi
nzima na kutazamwa.Mama huyo wa mtoto mmoja Sasha amedai watu wengi
wamemfahamu kupitia kivazi hicho wasimuhukumu.Amefanya mengi na makubwa
kwenye jamii,anasomesha watoto yatima nakujishuhulisha na kampeni za
mauaji ya albino na magojwa ya kansa.Na katika uhalisia kivazi hicho
kilishuka bahati mbaya na kushindwa kupandisha.Watu maarufu walio laani
tendo hilo kwa kumsapoti Peter Msechu ni Diamond
Platnum,Kajala,Shilole,Jokate,Salama Jabir,Joe Makini,Jokate na Madam
Lita kwa kulike ujumbe huo.
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni