Shirika
la habari la Uingereza liliamini malkia Queen Elizabeth aliyezaliwa
1926 amefariki dunia.Amejitokeza hadharani katika ukumbi wa Royal Albert
Hall tukio la WI nakukata keki akisaidiwa na Sophia na Anne.Queen
Elizabeth mwenye umri wa miaka 89 amekua mnyonge kwa muda sasa kutokana
na maradhi.
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni