test

Jumanne, 23 Juni 2015

DR. HARRISON MWAKYEMBE ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA JMT


Mhe. Dkt Harrison G. Mwakyembe(MB) ambaye ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, amechukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni