test

Ijumaa, 12 Juni 2015

Dive: Mwana FA Aliokoa Maisha Yangu Kipindi Nimekata Tamaa Na Kutaka Kujiua>>SOMA HAPA




Mtangazaji wa redio nchini Tanzania, Diva The Bawse, amedai kuwa hatakuja kusahau msaada alioupata kutoka kwa mwanamuziki nchini Mwana FA, baada ya kutaka kujiua na mwanamuziki huyo kufanikiwa kumshawishi hadi kubadili azma yake.
 
Amedai kuwa alianza kazi akiwa katika umri mdogo jambao ambalo changamoto zilimfanya alie na kutamani kujiua lakini mwanamuziki huyo alitokea na kuweza kumsaidia kubadili mawazo yake hasi hadi kuwa chanya.
 
“Wakati Naanza Kazi ya Utangazaji Mwaka wa Pili tu toka nianze kazi hio .. Niliumia sana na Maneno Ya Uzushi and nilianza kazi kwenye age ndogo …. at One Point In My Life .. wanted to commit suicide” ameandika Diva
 
“Mapenzi Hata hayakuwa sababu … Umaarufu wa Ghafla ulikuja na side 1 nzuri na side ya Pili ya Negativity za watu wenye wivu… Now ikno ‘ envy is the new hate ryt?! what would happen if i just didn’t wake up ? felt like that … it was like ‘ maybe i should jus take My Life and then a single status on facebook maana i was all alone and msongo wa mawazo ulizidi. nikawa nishalia sana … nilikuwa” Msafi sana .. too Polite and nafsi ikaumia na maneno ya watu .. it was like Maybe i shuld jus take my life ..”.
 
“Then simu ikaita .. a call from @mwanafa akiwa Yuko UIngereza anasoma … ikaita’ then sikupokea coz nilijua Hamisi man… atanipa maneno yake ambayo sitaki kuyasikia… sikupokea’ sikuwa nime log out facebook .. then akanicheck with Plsssss i need to talk to you… akapigaaaa… then nikapokea .. sauti yenyewe ilishakauka na kilio na nilichoka sana … Moyo ulikuwa hauna raha and mambo yalikuwa ni Mengi Mno … then he said .. ikno how you feel …”
 
“Then for hours and hours alifanya kila njia kubadili Mawazo yangu hasi kuwa chanya .. sababu ananijua vizuri alijua jinsi ya Kuongea na Mimi hadi mawazo hasi yakarudi kuwa chanya na tabasamu .. My heart ilikuwa at peace ghafla .. sababu aliongea vitu ambavyo hamna aliewahi kuongea na mimi in life .. hakuna alienielewa but @mwanafa wangu Saved My life … “‘
 
“Am This strong in life … he Made me .. created This Person anaendika this status saa hizi .. kama sio yeye .. ningekuwa dead and gone right about now .. Amma strong Mfs …. now you guys know why i love him so much.. My cousin’ My Binamu wa Pekee … My Hamisi .. My Brother .. my everythin … “.
 
Amemalizia “The Love i have for you is too deep .. hamna mwanaume naweza Mpenda like that..hawa wote huwa wananikimbia but you always there for better for worse … So Proud to have you in My life … You saved me ‘ it was one dead end after another ..”

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni