Skip to content
Leo June 11, 2018 Mwanaume mmoja anayejulikana kama Azubuike Raia wa
Nigeria amewashangaza wengi baada ya taarifa zake kusambaa kwenye
mtandao wa Facebook kwamba amemzika baba yake huku akitumia gari aina
BMW kama jeneza.
Kwa mujibu wa duru za kuaminika zinasema kwamba gari hilo lina thamani
ya zaidi ya shilingi Milioni 200 za kitanzania ambalo limefukiwa chini
kama jeneza ndani ya kaburi.
Aidha Mazishi hayo yalifanyika wikiendi iliyopita katika Mkoa wa Anambra
nchini Nigeria ambapo ndipo yalipokuwa makazi ya baba wa Azubuike.
Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
xxxxxxxxxxxxx
0 comments:
Chapisha Maoni