Moto
Mkubwa uumezuka katika kiwanda cha magodoro cha Ocean Kiss kilichopo
Tabata Matumbi. Kamanda wa Jeshi la Zimamoto Mkoa wa Ilala, Ully Mbuluko
amesema kuwa wamefanikiwa kuudhibiti moto huo ili usiendelee kuleta
madhara zaidi.
Blog Zinazoanzia na Herufi ya W
Wiki 3 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni