Mkurugenzi
wa Mawasiliani ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha taarifa
zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamiii zinazodai kuwa, Rais Dkt John
Pombe Magufuli leo Aprili 19 atazindua Hospitali ya Chanika Dar es
Salaam.
Msigwa
amesema kuwa, Ikulu haijapanga ratiba hiyo na kwamba wanasubiri taarifa
rasmi kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na
Watoto.
Aidha,
katika taarifa yake Msigwa alieleza kwamba, kiongozi mwingine yeyote
anaweza kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa hospitali hiyo.
0 comments:
Chapisha Maoni