Habari
zilizotufikia hivi punde kutoka mkoani Manyara zinasema kuwa watu
watatu wamefariki dunia na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la
Harmandos kukatika Steering Road na kutumbukia darajani, huko Haydom
Mbulu.
Mkuu wa wilaya ya Mbulu, Chelestino Mofuga ambaye amethibitisha kutokea kwa tukio hilo
0 comments:
Chapisha Maoni