Treni ya abiria imepata ajali usiku saa 5 eneo la Stesheni ya Mazimbu
Morogoro ambapo mabehewa manne yameegama na matatu yameacha reli.
Ashura Mrisho aliyekuwa anakwenda Tabora amejeruhiwa kwa kuangukiwa na
mizigo. Mabehewa 13 yamerejeshwa Morogoro kuwapangia usafiri mbadala