test

Jumatatu, 8 Mei 2017

Picha: Umati Mkubwa wa Watu Umejitokeza Katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kuwaaga Wanafunzi na Walimu 35 waliofariki kwa Ajali


Mageti ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid yamefungwa kutokana na idadi kubwa ya waombolezaji huku wengine wakiendelea kuwasili.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx