test

Jumatano, 31 Mei 2017

MAPENZI: Wivu wa mapenzi wamsababisha mwanaume singida kuchoma nyumba ya kupanga



Mwanamke mmoja mkazi wa Manispaa ya Singida anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba aliyokuwa amepanga mpenzi wake kwa kile kinachodaiwa wivu wa kimapenzi.
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida ,Deborah Magiligimba amesema mwanamke huyo Mariam Juma anakabiliwa na mashataka ya kufanya uharibifu wa mali pamoja na kuhatarisha maisha ya wapangaji waliokuwa wanaishi katika nyumba hiyo.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni