test

Jumanne, 16 Mei 2017

MAAJABU YA MWAKA: MTI WAGOMA KUNG'OLEWA MWANZA,UMETOA SAUTI USING'OLEWE



Wakazi wa Barabara ya Iloganzala Jijini Mwanza jana walipigwa butwaa baada ya mti kutoa sauti kama binadamu ukipinga using’olewe.Tukio hilo limetafsiriwa kuwa la kishirikina ama mazingaombwe ikizingatiwa kwamba si jambo lenye uhalisia mti kuongea kama binadamu.
Katika eneo la Iloganzala Jijini Mwanza kuna upanuzi wa barabara inayoelekea Uwanja wa ndege wa Mwanza.Shughuli ya kuung’oa mti huo aina ya mwembe bado inaendelea leo ambapo mamia ya wananchi wamejitokeza kushuhudia tukio hilo.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni