test

Jumatano, 31 Mei 2017

Inspekta Jenerali wa Polisi -IGP Simon Sirro ametuma salamu kwa kikundi kinachojihusisha na vitendo vya mauaji Mkoani Pwani na kusema majibu yatapatikana hivi karibuni.



Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali wa Polisi -IGP Simon Sirro ametuma salamu kwa kikundi kinachojihusisha na vitendo vya mauaji Mkoani Pwani na kusema majibu yatapatikana hivi karibuni.
IGP Sirro amezungumza hayo katika mkutano na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam akisisitiza kuwa hali ya amani na usalama nchini ni shwari.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni