Nimetambua ( taken note ) uamuzi wa mahakama kuzuia amri ya kukamatwa ya mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA.
Nimefurahi kuwa Mwanasheria wa Act Wazalendo ndg. Albert Msando ni mmoja
wa jopo la wanasheria wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA ndg. Freeman
Aikaeli Mbowe.
Mfumo wa Vyama vingi nchini upo hatarini, ni LAZIMA wana mageuzi wote
kuweka tofauti pembeni na kupambana kulinda Demokrasia yetu.
Tukiendekeza tofauti zetu ambazo nyengine ni za kijinga jinga tu,
tutakuja shtuka hata hicho kinachotupa tofauti ( vyama ) hakipo.