test

Jumapili, 15 Januari 2017

TETESI ZA USAJILI ULAYA 15.1.2017 (man u,arsenal,Chelsea,Liverpool,Man City)



TETESI ZA USAJILI ULAYA 15.1.2017 (man u,arsenal,Chelsea,Liverpool,Man City)
  • Jose Mourinho anamtaka Nemanja Matic ila Chelsea hawako tayari Kumuuza mchezaji yoyote mwezi huu ila Mchezaji huyo anamatumaini wakati wa majira ya joto mpango huo unaweza ukakamilika wameandika Daily Mirror leo.
  • Liverpool huenda wakaibomoa tena kambi ya Southampton kwa kumsaini  Jose Fonte mchezaji ambaye ni beki wa kati wa kutumainiwa Soton. (Daily Mirror)
  • Arsene Wenger anatarajiwa kusaini deal mpya kama kocha wa Arsenal mapema mwezi March mwaka Huu wameandika Daily Mirror.
  • Boss wa Chelsea Abramovich hayuko tayari kumwachia na kumuuza Diego Costa kwenda China akiamini ITAKUWA NI HATARI katika mbio za Ubingwa na ligi nyingine (Daily Mirror)
  • Klabu ya Sevilla kutoka nchini Hispania inamtaka Rashford kwa mkopo, Rashford amekuwa hapati nafasi kubwa ya kuanza kwenye kikosi cha Mourinho, hata hivyo Mourinho hayuko tayari kumwachia (The Sun wameandika)
  • Chelsea wanatajwa kuanza mazungumzo na nyota wa Real Madrid Alvaro Morata ili kujinga na chama  hilo la England.(Calciomercato.com)
  • Manchester City wanatajwa kumuwinda Mchezaji wa Spurs Ben Davies (The Sun)

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx