Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akionyeshwa pembe za faru John na Kaimu
Mkurugenzi Msaidizi waKitengo cha Kupambana na Ujangiri wa
Wanyamapori(Acting Assistant Director of Antipoarching, Wildlife
Division), Bw. Robert Mande, katika kikao klichofanyika kwenye Makazi
yake jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
aimu
Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangiri wa
Wanyamapori (Acting Assistant Director of Antipoarching, Wildlife
Division), Bw. Robert Mande (kulia) na Mkuu wa Hifadhi ya Ikorongo
Gurunetya Serengeti, Nollosco Ngowe wakiwa wamebeba sanduku lenye pembe
za faru John baada ya kumwonyesha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika
kikao kilichofanyika kwenye Makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam
Desemba 9, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akionyeshwa pembe za faru John na Kaimu
Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangiri wa
Wanyamapori (Acting Assistant Director of Antipoarching, Wildlife
Division), Bw. Robert Mande, katika kikao klichofanyika kwenye Makazi
yake jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016. Kulia ni Waziri wa Maliasili
na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.