Skip to content
Mitandao na vyambo vingi vya habari dunia viliandika kwamba mvua ya samaki imenyesha huku thailand,
wengine
waliamini na wengi wamekuwa na maswali kwamba kama ni mvua ya samaki
kwa nini samaki hao wako barabarani tu? Wengine pia wamesema kwamba ni
upepo wa kimbunga ndo umewatoa samaki hao majini na kuwatupa nchi kavu.
Kwa upande wako unadhani ni nini?
Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
xxxxxxxxxxxxx