Naibu
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimpa maelezo Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, kuhusu jengo la mikutano la
CCM, lililopo Kilimani mjini Dodoma wakati Naibu Katibu Mkuu huyo mpya
alipotembelea jengo hilo akiwa katika ziara ya kukagua mali za CCM, leo.
Kushoto ni Mkuu wa Utawala Makao Makuu ya CCM,
Innocent Msena na kulia ni Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Utumishi na
Uendeshaji Makao Makuu ya CCM Filbert Mdaki.
Naibu
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimpa maelezo Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, kuhusu jengo la mikutano la
CCM, lililopo Kilimani mjini Dodoma wakati Naibu Katibu Mkuu huyo mpya
alipotembelea jengo hilo akiwa katika ziara ya kukagua mali za CCM,
leo. kulia ni Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Utumishi na Uendeshaji Makao Makuu ya CCM Filbert Mdaki.
Mafara wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo ukiwa mbele ya jengo hilo la mikutano la CCM
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akimoji jambo, Naibu Katibu
Mkuu mstaafu wa CCM-Bara Rajabu Luhwavi baada ya kukagua jengo hilo,
akiwa katika ziara ya kukagua mali za Chama, leo mjini Dodoma.
KIWANJA
🔻
Meneja
wa Miliki wa Makao Makuu ya CCM, Abdallah (kulia) Msangi akimpatia
maelezo Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo (wapili kushoto),
alipoenda kukagua kiwanja cha CCM kilichopo eneo la Kilimani mjini
Dodoma, akiwa katikaziara ya kukagua mali za Chama, leo mjini Dodoma.
Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi.
Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Utumishi na Uendeshaji Makao Makuu ya CCM Filbert Mdaki akiongeza maelezo kwa Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo alipoenda kukagua kiwanja cha
CCM kilichopo eneo la Kilimani mjini Dodoma, akiwa katikaziara ya
kukagua mali za Chama, leo mjini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi, akimuonyesha
mwisho wa shamba la CCM, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo
(wapili kulia), Naibu Katibu Mkuu huyo alipoenda kukagua kiwanja hicho
kilichopo eneo la Kilimani mjini Dodoma, akiwa katikaziara ya kukagua
mali za Chama, leo mjini Dodoma, leo.
NYUMBA YA CCM YA NAIBU KATIBU MKUU-BARA
🔻
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akiwasili kukagua nyumba ya
CCM ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, akiwa katika ziara ya kukagua mali
za Chama, mkoani Dodoma, leo
Mkuu
wa Utawala Makao Makuu ya CCM, Innocent Msena akimpa maelezo Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, aliyefika kukagua nyumba ya
Chama atakayoishi, akiwa katika ziara ya kukagua mali za Chama mjini
Dodoma, leo
Katibu
Msaidizi Mkuu Idara ya Utumishi na Uenedeshaji Filbert Mdaki akionyesha
sehemu ya jikoni, wakati Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo
alipokagua nyumba ya CCM ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, akiwa katika
ziara ya kukagua mali za Chama leo mjini Dodoma. Kushoto ni Luhwavi
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akikagua meza kwenye jiko,
alipokuwa akikagua nyumba ya CCM ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, akiwa
katika ziara ya kukagua mali za Chama mjini Dodoma leo. Kulia ni
Msaidizi Msaidizi wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Mbwana Kambangwa.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akikagua kabati la jikoni,
alipokuwa akikagua nyumba ya CCM ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, akiwa
katika ziara ya kukagua mali za Chama mjini Dodoma leo
Naibu
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimpa maelezo Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo wakati wakiizunguka kuikagua
nyumba ya CCM ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Mpogolo alipokuwa katika
ziara ya kukagua mali za Chama mjini Dodoma, leo.
Naibu
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimpa maelezo Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo baada ya kuikagua nyumba ya CCM
ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Mpogolo alipokuwa katika ziara ya
kukagua mali za Chama mjini Dodoma, leo.
KUKAGUA MAGARI WHITE HOUSE
🔻
Msafara
wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo na Rajabu Luhwavi,
ukiwa umepumzika kwa mda katika jengo la White House la Makao Makuu ya
CCM kabla ya kuanza kazi ya kukagua magari, Mpogolo alipokuwa katika
ziara ya kukagua mali za Chama mjini Dodoma, leo.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Rodrick Mpogolo (wapili kushoto), akipatiwa maelezo
na Fundi wa magari, Ramadhani Mbelwa (kushoto), kuhusu hali ya magari
yaliyoharibika, Mpogolo alipokuwa akikagua magari hayo akiwa katika
ziara ya kukagua mali za Chama mjini Dodoma, leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo amhoji jambo Fundi wa magari ya Chama, Ramadhani Mbelwa (kushoto), alipokuwa akikagua magari mabovu ya Chama, akiwa katika ziara ya kukagua mali za Chama mjini Dodoma, leo. Kulia ni Luhwavi.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akionyeshwa gari
lililofunguliwa boneti, kupata uthibisho wa gari tatizo la gari,
alipokuwa akikagua magari mabovu ya Chama, akiwa katika ziara ya kukagua
mali za Chama, leo mjini Dodoma.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimshukuru Naibu Katibu Mkuu
mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi baada ya kumalizika kazi ya kukagua
baadhi ya mali za Chama, mjini Dodoma leo.
KUNZIA
SASA HUYU NDIYO BOSS WAKO, SIYO MIMI TENA: Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa
CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimtambulisha aliyekuwa Msaidizi wake, Mbwana
Kambangwa(kulia), kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo
kabla ya kuagana, mwishoni mwa ziara ya Mpogolo kukagua mali za Chama,
mjini Dodoma, leo.