Mkurugenzi
wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas (wa pili kulia)
akizungumza wakati wa kufungua mkutano mkuu wa siku mbili wa Tanzania
Bloggers Network (TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini
Dar,pichani kulia ni Kaimu Meneja Mwandamizi kutoka benki ya NMB,Stephen
Adili.
Mwenyekiti
wa muda wa mitandao ya Kijamii Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim
Mushi(aliyesimama) akimkaribisha mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Idara ya
Habari MAELEZO, Dkt.Hassan Abbas wakati wa ufunguzi wa mkutano wa
Tanzania Bloggers Network(TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini
Dar leo.
Baadhi ya Bloggers wakiwa kwenye mkutano wao unaoendelea hivi sasa.