Viongozi wa serikali, Vyama vya siasa na wabunge wakisafiri kutoka Dodoma kwenda Dar es salaam kwa ndege mpya ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ya Bombardier, Novemba 13, 2016. Wote walikwenda Urambo Tabora kumzika Spika Mstafu Samuel Sitta Novemba 12, 2016. Kutoka kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Freeman Mbowe. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita