test

Jumatano, 9 Novemba 2016

Marekani: Donald Trump Ameshinda nafasi ya Urais


Mpaka sasa Donald Trump ameshinda nafasi ya Urais kwa kuvuka idadi ya kura za wajumbe kwa kupata kura za wajumbe 276 huku  Clinton  akipata 218.
Muda huu anahutubia kukubali ushindi huo, mpaka sasa Clinton amegoma kusema chochote  

    Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

    xxxxxxxxxxxxx