test

Jumapili, 13 Novemba 2016

Askari Polisi Ajipiga Risasi Kifuani na Kufariki Dunia



MTWARA: Askari Polisi aliyejulikana kama PC Sengerama, adaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kifuani. Yadaiwa kuna matatizo yalimsibu.

Ni hawa askari wapya waliotoka depo Namba J, watu wanasema saa nyingine alikuwa na matatizo. Inauma sana, inakuaje Askari ajiue mwenyewe?
Lakini kilichonishitua zaidi ni sijaona damu sehemu alipolazwa. Je mtu akifa kwa risasi hatoki damu? Au kuna watu wamemuua. NinaaminJeshi letu la Polisi litatoa habari kamili kuhusiana na hili Swala mapema. Sababu watu washaanza kuongea mengi
Amejipiga Risasi Mtwara Kusini mwa Tanzania na maiti yake asubuhi hii wanaisafirisha kupelekwa Mwanza ndo kwao. Kwa watu wake wa karibu wanadai alikua hayuko vizuri. Yaania alikuwa kama mtu aliyekuwa anatuma madawa ya kulevya au bangi akaacha. Namba yake ya kazi J PC 734 anaitwa Sengerama.
Mwili wake uko njiani unasafirishwa kupelekwa nyumbani kwao mkoani Mwanza kwa ajili ya maziko

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx