Skip to content
Inasikitisha sana, na inauma sana kwanini watu hawaipendi nchi yetu.Viongozi waliona vema tuwe tunaangalia mechi tukiwa tumekaa kwenye viti, lakini kuna watu wanavunja viti namna hii, yani nakosa neno la kuwaita maana hata hilo haliwafai, huko ni kujirudisha nyuma kimaendeleo na tunajidharilisha kwani kwa utandawazi wa sasa ni kuwa Dunia yote inaona. Kifupi wamekosa akili ya kujiongeza
Simba wapewe adhabu kali na hii itasaidia mashabiki kujifunza ustaarabu wa ushabiki. Sasa kila timu ikifunga mkiwa mnangoa viti huo uwanja utadumu kweli?Tuwe na uchungu na mali ya umma.
Kwa upande mwingine mashabiki walivunja geti la uwanja huo upande wa chuo cha Duce na kusababisha uharibifu mkubwa baada ya polisi kufanya jitihada za kuwatuliza kushindikana.
Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
xxxxxxxxxxxxx