Mtazamaji wa Watu Wazuri yule comedian bingwa wa kuvunja mbavu za watu anaefahamika kwa jina la Masanja mkandamizaji ametuonjesha kionjo cha nyimbo yake mpya aliomuimbia mke wake bonyeza play uungane na mim kuvunjika mbavu kutokana na mbwembwe alizoziweka kwenye wimbo huu