test

Jumatano, 12 Oktoba 2016

VIDEO: Paul Makonda Awajibu Mawaziri Wanaohoji Anatafuta Nini


Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda amesema kuna watu wanaohoji wakiwemo mawaziri kuwa anatafuta nini?
Yeye amesema hawezi kujizuia na anawajibu kuwa anatafuta kutimiza kusudi la Mungu kwenye nafasi aliyopewa, na kingine ni kuwapa heshima waliompa nafasi aliyonayo
Amesema kuna watu wengi walikuwa wanaongea kuhusu yeye kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa wakati yeye ni mdogo na hataweza lakini licha ya hayo rais akamuamini na kumteua
Lingine amesema anataka aache alama kuwa kuna mtu alikuwa mkuu wa mkoa wa Dar na akafanya mambo kadhaa.
Angalia Video hapa

Angalia Video 

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx