Tanzania Khalfan Ngassa baba mzazi wa winga wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea klabu ya Fanja ya Oman Mrisho Ngassa,Kama utakuwa unakumbuka vizuri siku mbili kabla ya mechi ya Simba na Yanga tulisikia sijui nazi zimekamatwa uwanja wa taifa vitu ambavyo vinahusishwa na ushirikina.
Mzee Ngassa
amekubali kueleza experience yake katika soka katika kipindi wao
wanacheza walikuwa wanafanya mambo ya kishirikiana katika soka,
wanaamini iliwahi kuwasaidia?
ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

