test

Jumamosi, 8 Oktoba 2016

VIDEO:Mwanafunzi aliyepigwa na Walimu Mbeya Asimulia Mkasa mzima


Oct 8. Mwanafunzi aliyepigwa vibaya na walimu huko mkoani Mbeya asimulia tukio zima lilivyokuwa hadi yeye kuingia kwenye timbwili timbwili ambalo kiukweli si la kibinadamu na ni nje ya maadili ya Ualimu.Msikilize hapa chini akisumulia Mkasa huo.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx