test

Jumanne, 4 Oktoba 2016

Kijana aliyetobolewa macho Buguruni amsimulia RC Makonda ilivyokuwa



Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda
leo October 2 2016 amefanya ziara ya kwenda kumjulia hali kijana Saidi Ally aliyevamiwa na mtu anayedaiwa kuwa ni kibaka katika maeneo ya Buguruni Dar es salaam na kisha kumtoboa macho

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx