"Mimi sio mnafiki ninaposema ninasema kweli na Mungu ananiona, Mbunge wenu hapa Mkuranga ni Mchapakazi sana na msishangae nikimpa nafasi zaidi kwa sababu anafaaaa sana" - Rais Magufuli leo Mkuranga. |
Mheshimiwa Ulega Mbunge wa CCM Mkuranga, aliyefagiliwa na Rais Magufuli kwa Dakika 3 za hotuba yake leo kwenye ufunguzi wa kiwanda cha Bakhressa. |