Ajali hiyo iliyotokea siku ya Jumapili Novemba 23, 2016 saa 11.17 asubuhi haijajulikana mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo kama dereva alikua amelewa au ni usingizi na inasemekana dereva wa basi aliku akienda mwendo wa kasi zaid ya dereva wa lori. Basi hilo linalobeba abiria 44 lilikua likielekea Los Angeles baada ya kutoka kutembelea Kasino ya Red Earth ya Thermal. Majeruhi wa tano kati ya 31 wapo kwenye wadi ya wagonjwa mahututi
waokoaji wakiwa kwenye tukio
Maafis polisi wakiwa kwenye tukio

