test

Jumatatu, 12 Septemba 2016

VIDEO:DC GODWIN GONDWE ALIVYOTAMBULISHA BIDHAA YA WEMA SEPETU TANGA


Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ameanza kutembelea mikoa mbalimbali Tanzania ambapo kaanzia na Tanga kwa kufanya show yake ya Vigoma lakini pia akatambulisha bidhaa zake zenye jila la Wema Sepetu ambapo mgeni rasmi alikua mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx