test

Jumatatu, 19 Septemba 2016

VIDEO MPYA: DIAMOND PLATINUMS NA RAYVANNY - WIMBO SALOME


Wakali kutokea kiwanda cha Bongofleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumzpamoja na Raymond a.k.a Rayvanny wakitokea katika Laber ya WCB leo September 18 2016
wanayofuraha kushare na sisi mdundo wao mpya unaoitwa ‘Salome‘ Tayari nimekusogezea hapa chini video yao, ukimaliza 
kuitazama niachie comment yako kuniambia wametisha kwa asilimia ngapi.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx