Mamlaka
ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea list ya nyimbo 15 zisizokuwa na
maadili kutoka kwa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA).
Nyimbo
hizo ziliachiwa na wasanii katika vyombo vya habari pamoja na mitandao
ya kijamii bila kupitishwa katika mamlaka husika kwaajili ya kuzikagua
na baadaye kuiachia zipigwe.
TCRA
imesema nyimbo hizo zina maudhui kinyume na maadili na Huduma za
Utangazaji (Maudhui) 2005, hivyo mamlaka hiyo imeviagiza vyombo vya
habari kusitisha kuzicheza ngoma hizo.
0 comments:
Chapisha Maoni