test

Jumapili, 11 Septemba 2016

VIDEO BABU KUBWA: Walichofanyiana Shilole na Nuh Mziwanda walipokutana kwenye basi la Fiesta


Shilole na Nuh Mziwanda walikutana kwenye basi walipokuwa wanaenda Fiesta, wasanii hawa wamekuwa na bifu na walichuniana walipokutanishwa kwenye kipindi cha tv clouds na wamekuwa wakipigana majungu mitandaoni.

Lakini walipokutana kwenye basi Shilole alimuambia Nuh Mziwanda yaishe na kumwambia yupo kwa ajili yake na kumwagia mabusu mazito, pengine watarudiana. Angalia:

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx