
wanampenda wolper.Shosti wa Wolper akiongea alisema kuwa anawajua wanaume saba ambao ni Waganga wa Kienyeji waliowahi kutoka na Wolper,tena si mara moja bali kwa kitambo fulani.Pamoja na wembe kutajiwa orodha ya wanaume wote saba ambao ni waganga wa kienyeji kwa leo lina weza kuwataja watatu kisha wengine tutawataja matoleo yajayo.Wa kwanza ni lau kutoka Mwanza huja dar kwajili ya shuguli zake za uganga,Mganga mwingine ni Fadhilna wa Mwisho kutoka Nchi jirani ya Kidemkokrasia ya Kongo
chanzo wembe