test

Jumapili, 25 Septemba 2016

Sister Ajifungua Mtoto wa kiume



Utata umeibuka baada ya sister huko Italy aliyekuwa akilalamikia maumivu ya tumbo na kukimbizwa Hospitali na kujifungua mtoto wa kiume licha ya kuishi katika Jumuiya hiyo ya wanawake watupu.


Sister huyo mwenye umri wa miaka 31 yupo kwenye kikundi cha masista cha Santa Chiara Italy, asili yake ni Amerika ya Kusini, alilalamikia maumivu makali ya tumbo baadaye alianguka, 
madaktari walifika katika eneo hilo na baada ya kumfikisha Labour alijifungua.
Watu wengi wameshindwa kuelewa kwa jinsi gani ameweza kupata ujauzito licha ya kula kiapo cha usafi wa moyo na utii.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx