test

Jumamosi, 24 Septemba 2016

Picha Zote: Mtu Anayefanana na Mchezaji Zlatan Ibrahimovic Avamia Uwanjani Kwa Nguvu Kutaka Kumsalimia Zlatan Original leo


Mtu mmoja ambaye anafanana na Zlatan Ibrahimovic ameibuka uwanjani kwa kuwalaghai walinzi na kwenda hadi alipokuwa Zlatan mwenyewe wakati akiitumikia timu yake dhidi ya Leicester City.


Mtu huyo alifanikiwa kumvaa Zlatan na kusababisha watu kuangua kicheko wakiwemo wachezaji wa Man United waliokuwa benchi.

Mwisho, walinzi walimuwahi mtu huyo na kumuondoa katika eneo la uwanja.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx