test

Jumanne, 13 Septemba 2016

Mtandao wa marafiki wa ‘PAMOJA APP’ wakutanisha wadau Jijini Dar


Mtandao wa Kijamii wa Pamoja App wenye kukupa uwezo wa kukutana na watu wapya kulingana na mahitaji yako.  Kwa mujibu wa wamiliki wa Pamoja App, wanabainisha kuwa, App hiyo ni ya  kwanza hapa Nchini ikiwa ni ya lugha ya Kiswahili.
“Pamoja App, inawakutanisha watu ambao hawajuani kabisa. Ni nzuri kwani marafiki ukutana pamoja na kufahamiana katika mambo mbalimbali ikiwemo urafiki, Sasa kila mmoja anajiunga  Pamoja App, ili kuondoa upweke.” Wanaeleza wamiliki wa Pamoja App wakati wa tukio hilo lililofanyika katika ukumbi wa High Spirit Jijini Dar e Salaam.
Katika tukio hilo ulikuwa ni usiku wa Bloggers na wadau wengine tukio lililofanyika ndani ya  High spirit Posta jijini Dar e Salaam.  Wadau na Bloggers  walipata kushuhudia shoo fupi ya akina dada wa kuvutia wa kundi la Pamoja Angels  sambamba na kutoa zawadi kwa waliofika usiku huo Pamoja”Tunakukutanisha na watu wa aina yako”
Usiku huo uliodhaminiwa na Fasta fasta na kinywaji cha  Jack Daniels.
Wadada wa Pamoja Angels wakionyesha shoo maalum

Wadada wa Pamoja Angels wakionyesha shoo maalum. Walipo wao Pamoja App Ipo. Wakifanya yao 


Krantz Mwantepele wa blog ya Mzalendotimes akiwa katika pozi na Pamoja App na Mwanadada Alsaba Rahman. 

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx