test

Jumanne, 5 Julai 2016

Mwanadada Afanikiwa Kuyagonga kwa gari Majambazi



Majambazi wapatao 4 maeneo ya Buguruni Malapa yakiwa na bodaboda yalimvamia dada na kumtaka atoe fedha dada akayaambia hataki purukushani na kuwafungulia wachukue fedha,


Dada akaingia kwenye gari na majambazi wakachukua fedha kiasi cha 420,000, baada ya kuchukua wakaondoka na bodaboda zao kisha dada akawasha gari na kuwagonga baada ya kugongwa wakaruka kwenye pikipiki wakaacha silaha aina ya SMG na wananchi walijaribu kuwakimbiza lakini hawakufanikiwa.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx