Mufti Mkuu wa Tanzania ametangaza kuwa kesho ni sikukuu ya Kusherehea Eid El Fitri Baada ya Mwezi Kuoneka sehemu mbali mbali Tanzania. Amewatakia waislamu wote sikukuu njema na kuwataka kusherehekea kwa amani na utulivu. Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi xxxxxxxxxxxxx