test

Jumamosi, 25 Juni 2016

Wasaliti CCM kuisoma namba




Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mara kimewaagiza viongozi wake wa ngazi za mashina, matawi, kata kutoyapitisha majina ya wanachama wanaotuhumiwa kukisaliti chama hicho wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu uliopita katika nafasi za uongozi ndani ya chama.

  Agizo hilo lilitlewa jana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara Christopher Sanya wakati wa mkutano maalum wa kujadili uhai wa chama hicho na kusikiliza kero za wananchi uliofanyika katika Kijiji cha Marambeka wilayani Bunda.
  Tunajua wapo waliokisaliti chama kwa kuunga mkono wagombea wa vyama vingine.Hawa wasipewe fursa ya kugombea nafasi yoyote ya kiuongozi katika chama."Aliagiza Sanya.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx