Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti mwenza wa umoja
katiba ya wananchi-UKAWA- Bwana James Mbatia ametaka wananchi
kutozikubali hoja zenye lengo la kutaka kulipasua taifa badala ya
kujenga hoja zenye kulete maridhiano ya kitaifa.
Akizungumzia tuhuma za rushwa na ufisadi zinazotolewa kwa muda
mrefu kwa mgombea urais wa chama cha demokrasia na maendeleo Bwana
Edward Lowassa, Bwana James Mbatia amesema.
Amesema hoji sababu za kutofiksihwa katika mikono ya sheria baada
au kabla ya kujihudhuri wadhifa wa waziri mkuu ili kujibu tuhuma
zinazomkabili kwa kuwa sheria za nchni hazitoi kinga kwa waziri mkuu
kutofikishwa kwenye vyombo vya sheria.
0 comments:
Chapisha Maoni