Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akiwasili kwenye viwanja vya Shirika la Nyumba (National Housing) Mjini
Njombe tayari kwa kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu,
anazoendelea kuzifanya kwa nchi nzima. Picha zote na Othman Michuzi,
Njombe.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akiwahutubia wananchi wa Mji wa Makambako, waliofurika kwa wingi
wenye Polisi Makambako, Mkoani Mkoani Njombe Agosti 31,
2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake.
Katika hotuba yake, Mh. Lowassa amewatoa hofu wana CCM wanaotaka kujiunga na Ukawa kutoogopa kuchukua uamuzi huo kwani huu ni mwaka wa mabadiliko.
Pia amewaomba Watanzania wanaomuunga mkono katika mikutano yake ya hadhara kutoishia hapo na badala yake kujitokeza kwa wingi katika Uchaguzi wa Mwaka huu wa Oktoba 25 mwaka huu.

Sehemu ya wananchi wa Mji wa Makambako, wakishangilia hotuba ya Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akipongeza na baadhi ya Wagombea Udiwaki wa Kata mbali mbali za Mji wa
Makambako, Mkoani Njombe baada ya kuhutubia Mkutano wake wa Kampeni.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akimnadi Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Makambako, Mhema Oraph, wakati wa Mkutano wa
Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Makambako, Mkoani Mkoani
Njombe Agosti 31, 2015.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akiwasili kwenye Uwanja wa Polisi
Makambako, Mkoani Mkoani Njombe Agosti 31, 2015, kulikofanyika
Mkutano wa Kampeni, na kuhudhuliwa na umati wa wananchi wakazi wa maeneo
mbali mbali ya Mji wa Makambako.
0 comments:
Chapisha Maoni