Pazia
la ligi kuu Tanzania bara limefunguliwa rasmi leo ambapo michezo saba
imechezwa kwenye viwanja tofauti wakati jumla ya timu 14 zilikuwa
viwanjani zikiwania pointi tatu muhimu, matokeo ya mechi zote
zilizochezwa siku ya Jumamosi ni kama ifuatavyo;
Azam FC 2-1 Tanzania Prisons (Azam Complex, Chamazi)
African Sports 0-1 Simba (Mkwakwani, Tanga)
Ndanda FC 1-1 Mgambo JKT (Nangwanda Sijaona, Mtwara)
Toto Africans 1-0 Mwadui FC (CCM Kirumba, Mwanza)
Stand United 0-1 Mtibwa Sugar (Kambarage, Shinyanga)
Majimaji FC 1-0 JKT Ruvu (Majimaji, Songea)
Mbeya City FC 0-1 Kagera Sugar
Kesho utachezwa mchezo mmoja wa
ligi kuu Tanzania bara kwa kuzikutanisha Yanga dhidi ya Coastal Union ya
Tanga mchezo utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Chapisha Maoni