test

Jumamosi, 6 Juni 2015

UNAMJUA DIAMOND PLATNUMZ???>>>SOMA HAPA



Soudy kainasa story kwamba kuna picha inayowaonesha Wema Sepetu na Naga, ambaye alikuwa mpenzi wa Linah.. Kuna uhusiano wowote unaendelea kati yao hii??
Hapa akaanza na Linah.. yeye kasema uhusiano wake na Naga uliisha zaidi ya miezi miwili iliyopita kwa hiyo kaendelea na maisha yake hajui kama kuna uhusiano unaoendelea kati ya Wema na Naga.
Akamcheki Wema ambae alikataa kuongea chochote; “Soudy sijisikii kuongea siko kwenye mood“>> Wema Sepetu.
Mwisho Soudy akamcheki Diamond Platnumz, jamaa akasema hamjui huyo aliyekuwa mpenzi wa Linah na hakuwahi kuwa na uhusiano na Linah kwa vile ni kama mdogo wake.
U Heard iko kwenye hii sauti, bonyeza play hap chini utamsikia Soudy anavyoongea na wote watatu..

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni