test

Jumapili, 7 Juni 2015

MZEE MAJUTO AMFUATA WEMA SEPETU NA KUMWAMBIA KUNA WATU WALITAKA KUNIDHULUMU>>


Wema Sepetu na Mzee Majuto
Kuna watu ambao walimuita Mzee Majuto kwenye show wakamuahidi kumlipa mil.2, baada ya show wahusika hawakumlipa… Mzee Majuto ikabidi amtafute Wema Sepetuambae alimuunganisha na watu hao.
Mzee Majuto amesema Wema aliwatafuta watu hao na wakamlipa hela hiyo jana.. lakini hii sio mara ya kwanza kwa Mzee Majuto kutapeliwa, kumbe aliwahi kusainishwa mpaka Mkataba kwenda kwenye show Mwanza yeye pamoja na akina JB na Steve Nyerere, mwishowe wakatapeliwa hivyohivyo.
U Heard iko kwenye hii sauti mtu wangu, Mzee Majuto kasimulia ishu nzima ilivyokuwa pamoja na huo utapeli wa Mwanza
 

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni