Mtangazaji wa Maimartha Jesse
amempongeza madam Wema Sepetu kwa kupata mpenzi mpya.Amemwita mdogo wake
mzuri mzuri akiwa nikiashirio cha kubariki ukwapuaji wa mpenzi wa
zamani wa Linah Sanga.Pia amempongeza Aunt Ezekiel kwa kupata mtoto na
kuahidi kumtembele mtoto huyo Cookie.Huku akipiga biti kwa atakaye
mtukana kwa kutoa hongera atamfanya kitu mbaya.
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni