Ni
muda mrefu sasa umepita tangu mwanadada wema sepetu akiwa analalamika
na kuonyesha kiu yake ya kupata mtoto , baadhi ya watu wamekuwa
wakimuonea huruma na wengine kumsema na kumtukana lakini mwanadada huyo
hajawahi kuacha kuonyesha kiu yake ya kutaka kupata mtoto.
Akiongea
katika chaneli ya EATV,Wema anasema “kwakweli nimekuwa nikitamani
kupata mtoto hata leo kwa muda sasa tangu nikiwa na miaka 24 hadi leo
nina miaka 29”
Hata
hivyo moja ya warembo kutoka kenya aliyekuwa akiishi dubai anaejulikana
kwa jina la 2g diva, amejitolea kumsaidia wema kupata mtoto ili kuweza
kutimiza ndoto zake za muda mrefu.
Katika
moja ya video zilizovuja mtandaon zikimuonyesha dada huyo akiongea
anasema kuwa ” wema sepetu darlin suluhisho tunalo, may be unaenda kuwa
mama soon”
0 comments:
Chapisha Maoni